Wadau ningependa Hii TOPIC ichambuliwe na kila mtu kutokana na uelewa wake na uwezo wake juu ya Computer Virus na Antivirus, Kila mmja aseme Neno juu ya hii VIRUS/ANT-Virus, nini Uelewa wake, utengenezaji wake, aina zake, tofauti zake, makampuni yanayotengeneza, kazi za antivirus, na mengine mengine Mengu kama Tabia za VIRUS/ANtivirus Mbali mbali. Karibuni.

http://3.bp.blogspot.com/-a439-vVSPAc/UQo9wK_rZ6I/AAAAAAAAAmg/MCkVu0OyZsg/s1600/computer-virus.jpg

Naanza mimi hapa, Computer Antivirus, ni Program katika computer ambayo kazi yake ni kuzuia Virus ambao ni programs mbali mbali ambazo zinaweza gain ADMINISTRATOR PRIVILEDGE kwenye Operating System na kufanya kazi mbali mbali kama ku-HIDE FILES, KUDELETE FILES na wakati Mwingine kuCORRUPT OPERATING SYSTEM.

Virus ni program katika Computer ambayo kazi yake ni kwenda kinyume na ufanyaji kazi wa kawaida wa COMPUTER PROGRAMS. Virus hutengenezwa kwa Kusudio Fulani kutokana na malengo ya mtengenezaji wa hizo VIRUS.

Virus katika Computer wanagawanyika katika makundi mbali mbali, moja kati ya hayo ni SPYWARE, MALWARE, ROOTKITS, TROJANS(HORSE), WORMS, HIJACKERS, BACKDOOR, ADWARE, KEYLOGGERS na wengine Wengi sana.


Ntaendelea na Uchambuzi wadau, naomba mwenye IDEAS mwingine tuendelee kushare, mambo tofauti tofauti, unachoelewa kuhusu ANTIVIRUS ama VIRUS.

NOTE: KU-DISCUSS KWA PAMOJA HUWEZA KUTUFANYA KUELEWA MENGI ZAIDI YA MTU MMJA KUELEZA ANAYOJUA YEYE.

Like
Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply