Usb debug in Tecno c8 with pc

HI Friends!!

Nina simu yangu ya techno C8 lakini kila nikitaka kuiconnect na pc ili kufanya transfer of files haiconnect japo inachaji kawaida tu! Nime-enable usb debug kwenye simu lakini bado imegoma, nikaisi tatizo pc ila ukiconnect simu nyingine zinakubali!! Nini laweza kuwa suluhisho ndugu make limenihangaisha sana hili 

Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply