Kwema wakuu, moja ya vitu ambavyo wengi vimekua vikiwapa kero kuhusu device zao basi ni kutakiwa kuweka unlock code pale wanapochange simcard. Ukweli wa mambo ni kuwa hiyo device yako inakua locked kwa mtandao ambao umenunua, na lengo la wao kufunga ni kuweza kukupa limit ya kuweza kupata huduma 3G kama simu ni dual simcard.
 Moja ya maneno ambayo unaweza kutana nayo ni kama  

Network Unlock Code
SIM Unlock code
Enter SIM Me Lock
Enter NP Code
Please Input Network Pin
Service Provider unlock code
SIM network unlock pin
SIM Service provider unlock pin
SIM network unlock pin/NP Code
SIM network subset unlock pin
SIM service provider unlock pin
Network control key
sim locked

Je hiyo unlock code nitaipata wapi?
huduma hii inapatikana online, unaweza order code toka kwa server unayoitaka, na pia unaweza kuzipata hapa hapa katika Forums yetu ya Complex
System

Je, hizo code zinaingiliana kwa simu yoyote?
Hapana, kila device ina unique unlock code ambazo zinakuwa calculated kutokana na imei yako.(*#06#)
, na imei inayotumia ni ile ya sim1

Huduma hii ni free of charge?
hapana sio free, unatakiwa kulipia kutokana na device yako, na bei hulingana na server utakayo tumia.

Inachukua muda gani kupata unlock code?
 kuanzia 5dk na kuendelea, kuna baadhi ya simu za nje huchukua mpaka masaa 48 kupata code baada ya kufanya order na kulipia.
 pia kwa wale wanaopenda kutumia njia ya direct unlock huwa inachukua muda mchache, cha muhim uwe na internet ya uhakika,


NB: UNAPOTUMA IMEI ZAKO HAKIKISHA NI ZENYEWE KUEPUKA USUMBUFU WA CODE KUGOMA KATIKA YAKO


KARIBUNI SANA

 

 

Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply