Mozilla Firefox Latest

mambo vp wadau, Ningependa kushare nanyi Browser maarufu dunian sana amabayo free source kwa maana nyingine unaruhusiwa kuongeza ama kurekebisha kama wewe ni mmoja wa madeveloper wa Programming languages. Hii browser hufanyiwa kaz sana na madesigner wa mitandao mbali mbali katika kupata compatibilty wakati wa kudesign.....NOTE: Jitahidi uwe na browser update husaidia sana kuwa mbali na hackers kwa kuwa plugins nyingi ambazo ni za hacking attempts browser huweza BLOCK ama ku ALLOW..Kwa maana hiyo jitahidi sana kuwa na update Borwser....Pitia masomo mengine kwa forums uone namna gan hacker huweza kukuhack kwa kutumia browser yako ukiwa kwenye internet.


Download Here
Mozillla Firefox

Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply