Mambo vp wadau, leo ningependa kushare nanyi namna ya kuweza ku UPDATE ANTIVIRUS yako Bila kuwa Connected na INTERNET.:D :D :D http://kentuckyrec.com/site/wp-content/uploads/2013/07/Update.jpg Antivirus ni software Bora sana kwa ulinzi wa #Computer yako, lakini bila kui-UPDATE Antivirus ni Tatizo linaloweza kupa stress juu ya data zako. NAMNA YA KU UPDATE OFFLINE Kwanza unaweza chukua computer isiyokuwa ya kwako, alafu ukaingia online sasa, unachotakiwa kufanya ni kuDOWNLOAD Update Files za #ANTIVIRUS ambayo unataka kui-UPDATE offline, alafu kisha unachukua zile file una PATCH kwa ile computer ambayo haina uwezo wa internet ama access ya internet. Nikupe mfano mmoja, unaenda ofisini kuna ROUTER ina toa internet access, lakini Nyumbani una DESKTOP haina access na internet, huna modem wala huna pesa za kujiunga bundle ya internet unachotakiwa kufanya ni kuifuatilia process hii. Tembelea Website ya ANTIVIRUS yako kisha download UPDATE FILES za ANTIVIRUS yako Mfano mimi natumia AVG FREE ANTIVIRUS Basi ntatembelea website ya AVG FREE ANTIVIRUS WEBSITE kisha na download updates za Tarehe ninayohitaji na kuSAVE kwenye Computer yangu. Kama hivi https://bd23.https.cdn.softlayer.net/80BD23/142.4.51.106/blog/wp-content/uploads/2008/05/manualupdate-avg.png Nenda kwa ANTIVIRUS yako eneo la ku UPDATE.....Kisha Bonyeza UPDATE FROM DIRECTORY.....Kisha FETCH/BROWSE ile data ya ku UPDATE na Update ANTIVIRUS yako.... http://4.bp.blogspot.com/-89tAfHPnRl0/U5yuZfUtSqI/AAAAAAAACB8/6ls8D5OQfCk/s1600/AVG+offline+update.png Huu ni mfano tu nimetoa kwa ajili ya AVG lakini zipo hizi functionality kwa ANTIVIRUS/INTERNET SECURITY Software Zote za Protections. SenkiYu.:) :)
Like
Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply