Hibernate ni kile kitendo cha computer kuzimwa ikiwa bado inatunza PROCESSES ZOTE, ikiwemo cache, temporary services and files. Kitendo cha kuzima computer kwa HIBERNATING... kinapaswa kufanyika pale ambapo kuna haja ya kufanya hivyo, kwani computer wakati wa kuwaka huchukua kiwango kikubwa cha memory zake kukumbuka wapi iliishia kufanya kazi.

Lakini pia OS huchoka haraka kama computer haizimwi mara kwa mara, maana kutakuwa na mlundikano wa temporary files, dump files, error logs na vitu kama hivyo. Na kama computer haifanyiwi disk CleanUp kwa wakati basi OS huweza kupoteza ubora wa ufanyaji kazi wake.

Hibernating... huwa na maana pale ambapo una kitu muhimu ulikuwa unafanya Ghafla umeme ukakosekana na hivyo kusababisha kuwa na mda mfupi wa kufanya kazi, hivyo hibernate inakupa utunzaji wa kumbukumbu pale ulipoishia...

Ni NZURI sana ikitumika inapohitajika, si salama kwa uhai wa OS yako inapotumika kama FASHION

Like
Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply