Habari,

leo nataka tujifunze juu ya kubadili WEBPAGE na kuwa PDF file.

watu wengi wamekuwa wakipiga simu hapa Complex System kwa namba zetu za ofisi +255653400594 wakiuliza je inawezekana kubadili webpage na kuwa PDf file?

ukweli ni kwamba inawezekana kabisa na wala hutumii nguvu nyingi kufanikisha hili.

Wakati gani wa kubadili webpage kuwa PDF fil?

unaweza ukawa unasoma kitu kwenye computer yako na ukafungua webpage fulani na ukatamani maelezo hayo uwe nayo kama kitabu vile yaani muda na saa yeyote uweze kuyasoma na ukiangalia hayo maelezo hakuna sehemu hata moja iliyoandikwa download na hapa ndo ugumu un akokuja, ila kwa sisi complex tunasema ni rahisi sana hii kitu.

Ni nini Mahitaji?

ili kufanikisha hili unapaswa kuwa na kitu kimoja ambacho ni Browser ya CHROME

Jinsi ya kufanya (steps)

1. Fungua google chrome Browser kwenye PC yako au MAC
2. Kisha nenda sasa kwenye webpage ambayo unataka kuibadili kuwa PDF file
3. Sasa press Ctrl+P kwa tunaotumia window Pc au Command+p kwa wanaotumia MAC ili uweze kufungua print Dialog kwenye Chrome Browser
4. Sasa badili destination kuwa " Save as PDF" na kisha bonyeza save botton .
5. Sasa ile active webpage itaanza kuwa downloaded kama PDF Document

angalia baadhi ya picha hapa chini jinsi ya ku-perform hizi hatuma

NOTE: uwe unatumia CHROME BROWSER

Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply