Habari za siku nyingi wadau wangu najua mlimic sana uwepo wangu na maoni yenu nimeyapata na kuyaelewa pia hivyo basi leo ningependa kuwaletea kitu ambacho kinaitwa vectors . baada ya kuanza kuchola maombo ya vitu hii sasa inakurahisishia mtumiaji haswa anaetumie Adobe Illustrator, ningependa kukupa site kathaa ambazo unaweza kupata hizo vectors.

1. www.all-free-download.com

2. www.freepik.com/free-vectors/graphics

2. https://www.graphicstock.com/

 

Asante Sana tutazidi kupeana vitu kupitia hapa complex.

Like
Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply