Free Download Ashampoo Activation Keygen

Mambo vp wadau, leo ningependa share nanyi hapa Complex System juu ya Ashampoo Burning Software.....Unajua ni nini hii?? kazi zake?? jinsi ya kuitumia?? Activations?? karibu


http://www.superdownloads.com.br/imagens/screenshots/1/6/161225,O.pngAshampoo ni software makini sana kwa Burning issues, hukuwezesha kubrun images za mfumo mbali mbali, kuburn files kama music, photoz, huweza hata kubrun mafolder, so kwa wale wa documentaries hapa ndo penyewe.

Software hii inauwezo wa kukuwezesha wewe mtaalamu wa Operating Systems kuburn images zako za OS kama windows, linux, Mac OS, na zingine tofauti tofauti

KAZI ZA ZIADA NI ZIPI???

Ashampoo software hukuwezesha pia kufanya image yako kuwa bootable, hii namaanisha nini?? Yaani kama una files za OS ambazo kimsingi zilikuwa extracted unaweza kuzi COMPACT na kuzitengeneza upya na kuwa bootable image....


IMAGE ndo inakuaje??

Image sio picha, Image ni moja ya file Format ambayo hukuwezesha wewe kukusanya file nyingi mbali mbali na kuzi compact/kuziunganisha kuwa na mfumo wa image, kuwa image haina tofauti sana na kuwa ZIPPED (Japo Tofauti ipo), files haziwezi kuwa affected na Viruses, na wala haziwezi kuwa changed

BOOTABLE IMAGE ndo NINI??

Bootable image ni ile File image ambayo inauwezo wa ku boot wakati computer haina source code za kuboot computer yako, kuna wakati computer operating system hu corrupt, inapotokea hili, huitaji bootable image ambayo hukuwezesha wewe kuiwasha computer yako ikiwa na device yenye image hiyo ambayo ni bootable

KAZI ZINGINE NI:

Kutengeneza cover kwa cd
Kucopy cd
Kufuta cd ilokwsha chomwa (burned CD), lakn hii ni kwa "REWRITABLE CD" tu. kazi za ashampoo zinavyoonekana hapo chiniBila hiyana complex system tunakupatia keygen ya Ashampoo software, hii hukuwezesha kugenerate keygen nyingi kadri uwezavyo wewe na utakavyo....Bureee hapa hapa

Download here:

Attachments:
Like
Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply