Niaje wana Complexxx najua mko powa sana.....mi mzima wa afya sa katika kudumisha undugu humu leo nimeamuia ku share na nyie hiki kitu maana kwangu yaani naonekana kama mjanja wa omputer hapa ofisioni kwetu kumbe wapi ni mautundu tu

yaani pindi niwashapo computer yangu mbele ya watu na kisha ikanikaribisha watu wanashangaa sana...

nisiongee sana sasa nataka na wewe ufanye hii kitu ili watu pia wakushangaeeeeeeeFuata hatua hizo chini kwa umakini ili uweze kuelewa na nimetumia ENGLISH kwa kua ndo lugha nyepesi katika computer


1. Click on Start. Navigate to All Programs, Accessories and Notepad. au Win key+R then type NOTEPAD


2. Copy and paste the exact code given below.

Dim speaks, speech
speaks="Welcome to your PC, Username"
Set speech=CreateObject("sapi.spvoice";)
speech.Speak speaks

3. Replace Username with your own name.


4. Click on File Menu, Save As, select All Types in Save as Type option, and save the file as Welcome.vbs or "*.vbs".


5. Copy the saved file.


6. Navigate to C:\Documents and Settings\All Users\Start Menu\Programs\Startup (in Windows XP)
and to
C:\Users\ {User-Name}\AppData\Roaming\Microsoft\Windows\Start Menu\Programs\Startup (in Windows 8, Windows 7 and Windows Vista) if C: is your System drive. AppData is a hidden folder. So, you will need to select showing hidden folders in Folder options to locate it.
7. Paste the file.

8.Funga kila kitu then RESTART mashine yako kama iko na Volume ndogo jaribu kuongeza ili usikie fresh pia kama utataka ku Rename Username Fuata STEP 6 ili upate ile faili uliyo save na EDIT sasa humo vyovyote utakavyo

MNAKARIBISHWA KWA MASWALI KWA ATAKAESHINDWA

Like
Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply