Toggle Sidebar
Loading cover... Drag cover to reposition
Recent updates
  • leo nimekumbuka msemo mmoja wa kiswahili unao sema "Ajidhaniye amesimama, aangalie asianguke" hakika msemo huu una mafunzo mengi sana kwa watu wanaojifanya ya kuwa wanajua kila kitu then hawataki kushare na wenzao hivyo ikitokea wanahitaji msaada watambue kuwa nao hawata pewa msaada wowote.
    kwani nataka kua kumbusha methali moja ya "Akiba si mbi (mbaya), na ingawa kumbi"