Hellow! Mko Powa...Leo tunajifunza kitu kidogo kuhusiana na CCleaner software, Hii software hutumika kwa ajili ya kufanya computer maintenance and repair. Hufanya kazi kubwa na program files za Drive C: ndo maana huitwa C cleaner....Hii software hutoa unused shortcuts na internet files ambazo zimeEXPIRE, hupembua registry files na kurekebisha errors, hutoa records za browser yako ambazo zilizonyingi hatuzitumii, Hu clean recycle bin, hu futa temporary files ambazo hukaa kwenye cache memory ya RAM yako, hukusaidia kuclear program files unusable file ambazo hukaa kwa muda pindi unapo UNINSTALL program kwenye control panel na vingine vingi sana.

http://i.i.cbsi.com/cnwk.1d/i/tim/2012/07/02/Foreman_12631698_5512_ccleaner2_540x402.png

Ni software ndogo ambayo huweza kuifanya computer yako kufanya kazi zake kwa wepesi na uharaka zaidi, Complex System tunakupatia software hiyo free hapa hapa.

Download Now!!

CCLEANER FREE DOWNLOAD

NOTE:
Sio kila software uwe nayo, zingine tunafundishana ili tufahamu zaidi.

Attachments:
Like
Responses (0)
Sorry, but you are not allowed to view the replies here.
Your Reply